Posted on: June 30th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Ndugu Gerald Musabila Kusaya Juni 30, 2025 amezindua Mpango Mkakati wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Ukumbi wa Manispaa ya Musoma na kuzi...
Posted on: June 23rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Evans Alfred Mtambi leo tarehe 23 Juni, 2025 amewapokea na kufungua rasmi kambi ya madaktari bingwa na bobezi 64 watakaotoa huduma katika Hospitali za Halmashauri za Mkoa wa ...
Posted on: June 20th, 2025
Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Mara leo tarehe 20 Juni, 2025 wamejengewa uwezo kuhusu Mkakati wa Taifa wa Kupambana na Rushwa, masuala mbalimbali ya kiutumishi, huduma zinazotolewa na Shirika la...