Posted on: August 6th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi leo tarehe 5 Agosti 2021 ameongoza kikao cha maandalizi ya Siku ya Mara inayotarajia kufanyika tarehe 15 Septemba 2021 katika Wilaya ya Tarime.
Akizu...
Posted on: August 6th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ndani ya miezi miwili ili iweze kutoa huduma...
Posted on: August 6th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi ameelezea matumaini yake kuwa Uwanja wa Ndege wa Musoma utakapokamilika utaufungua Mkoa wa Mara kiuchumi.
Mheshimiwa Hapi ametoa matumaini hayo leo t...