Posted on: July 27th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi amewataka viongozi wa wilaya na wataalamu wa afya kusimamia utekelezaji wa mwongozo uliotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jin...
Posted on: July 27th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia utekelezaji wa afua za lishe katika halmashauri zao ili kuimarisha hali ya lishe katika Mkoa wa Mara.
...
Posted on: July 26th, 2021
Kamati ya siasa ya Mkoa wa Mara imeipongeza Shule ya Sekondari ya Nyanduga kutokana na ufaulu wa wanafunzi katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021.
Akizungumza wakati wa kutembelea mradi wa ma...