Posted on: June 24th, 2022
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Mashariki leo imekabidhi dawa zenye thamani ya shilingi 23,000,000 kwa Mwakilishi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara kwa ajili ya Magereza za Mkoa wa Mara...
Posted on: June 16th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi leo amekutana na viongozi wa dini wa Mkoa wa Mara na kuwataka viongozi hao katika mahubiri yao kuhimiza umoja, amani na usalama.
“Ninawaomba v...