Posted on: March 23rd, 2022
Mkoa wa Mara umeanza kuchukua hatua mbalimbali ili kuweza kufanya vizuri katika matokeo ya wanafunzi katika mitihani ya kitaifa ili kurejea katika nafasi yake ya zamani.
Hayo yameelezwa na Kaimu Ka...
Posted on: March 19th, 2022
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jafo leo amepokea matokeo ya uchunguzi wa Kamati ya Kitaifa iliyokuwa inachunguza uchafuzi katika Mto Mara. &nbs...
Posted on: March 18th, 2022
Mkoa wa Mara umeazimia kuongeza ufaulu wa wanafunzi kwa shule zote katika mitihani wa Kidato cha Sita utakaofanyika kitaifa Mwezi Mei, 2022 hapa nchini.
Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa Bwana Do...