Posted on: March 18th, 2022
Mkoa wa Mara umeazimia kuongeza ufaulu wa wanafunzi kwa shule zote katika mitihani wa Kidato cha Sita utakaofanyika kitaifa Mwezi Mei, 2022 hapa nchini.
Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa Bwana Do...
Posted on: March 12th, 2022
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jafo (Mb.) ameunda Kamati ya Kitaifa ya watu 11 kwa ajili ya kuchunguza chanzo cha uchafuzi wa maji ya Mto Mara...
Posted on: February 19th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi katika kuboresha utendaji wa Halmashauri za Mkoa wa Mara amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara kuwaondoa katika nafasi zao na kuwapangia majukumu men...