Posted on: July 26th, 2021
Kamati ya siasa ya Mkoa wa Mara imeipongeza Shule ya Sekondari ya Nyanduga kutokana na ufaulu wa wanafunzi katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021.
Akizungumza wakati wa kutembelea mradi wa ma...
Posted on: July 26th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi ameitaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kukamilisha ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Mji wa Tarime kulingana na muda uliopo katika mkataba wao.
Mh...
Posted on: July 26th, 2021
HAPI ATAKA MAELEZO UJENZI WA CHOO KITUO CHA AFYA CHANGUGE
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rorya Bwana Charles Chacha Marwa na timu yake kutoa m...