Posted on: July 22nd, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Butiama imempongeza Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi kwa kuiwezesha Halmashauri hiyo kupata ushuru wa huduma (service levy) kutoka kwa makampuni mbalimbali.
...
Posted on: July 22nd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara kuimarisha Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani ili kuweza kumsaidia Mkurugenzi kuisimamia halmashauri hiyo.
Mkuu wa...
Posted on: July 22nd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kujibu hoja zote za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ndani ya mwezi mmoja na zile zenye sura...