Posted on: July 28th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Adam Kighoma Ali Malima amepokea vifaa vya tiba ya figo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 300 kwa ajili ya kitengo cha Figo cha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa ...
Posted on: July 28th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Adam Kighoma Ali Malima ameeleza kuwa maandalizi ya maonyesho ya kilimo ya NANENANE kwa mwaka 2020 yatakayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakibindi katika Mkoa wa ...
Posted on: July 27th, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Mara Bibi Karolina Mthapula amewapongeza watumishi wote wa sekta ya Afya wa Mkoa wa Mara kwa kazi nzuri wanayoifanya hususan katika udhibiti wa janga la Corona.
Bibi Mthapula ...