Posted on: June 1st, 2021
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Bi. karolina Mthapula amewataka wajumbe wa kamati ya lishe pamoja na Elimu Mkoa wa Mara kuhakikisha kuwa elimu kuhusu urutubishaji wa chakula inasambazwa kwa watoto...
Posted on: May 19th, 2021
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Mhandisi Faustine Tarai amewataka wajumbe wa Kamati ya Lishe ya Mkoa wa Mara kuhakikisha kuwa Mkoa huu unakuwa katika kumi bora katika utekelezaji wa afua za lishe ...
Posted on: April 22nd, 2021
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mheshimiwa Suleiman Jafo amesikitishwa na ubabaishaji unaofanywa na Mgodi wa North Mara uliopo katika Wilaya ya Tarime, Mkoani Mara katik...