Posted on: April 26th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara leo amewaongoza wananchi wa Wilaya ya Musoma kupanda miti 1,000 katika Shule ya Sekondari ya Kiara kama sehemu ya Maadhimisho ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
...
Posted on: April 26th, 2022
Serikali imeutaka Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara kulipa faini ya shilingi bilioni moja ndani ya siku 14 baada ya bomba lake la maji machafu kuachia na kutiririsha maji machafu karibu na...
Posted on: April 20th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi leo amepokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa matumizi ya fedha zinazotolewa na migodi kwa ajili ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) katika Mkoa wa Mara kat...