Posted on: August 18th, 2022
Polisi Kanda Maalum ya Tarime/ Rorya imekamata magunia 67 ya madawa ya kulevya aina ya bangi yenye uzito wa kilogramu 3,350 katika Kijiji cha Nyamwigura, Kata ya Binagi, Tarafa ya Inchage Wilaya ya Ta...
Posted on: August 10th, 2022
MARA YAENDELEZA UBABE UMITASHUMTA
Mkoa wa Mara umeendeleza ushindi katika Mashindano ya 26 ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) mwaka 2022 baada ya kuibuka mshindi ...
Posted on: August 10th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee leo tarehe 9 Agosti, 2022 ametembelea Hospitali ya Wilaya ya Butiama inayoendelea kujengwa na kuwataka wasimamizi wa miradi ya maeendeleo kusimamia kwa...