• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Mipango na Uratibu
      • Sekta ya Elimu
      • Huduma ya Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wilaya ya Rorya

Historia ya Wilaya ya Rorya

Wilaya ya Rory ni miongoni mwa Wilaya 6 za Mkoa wa Mara.  Wilaya ya Rorya ilianza rasmi tarhe 01/07/2007 baada ya kugawanywa kutoka Wilaya ya Tarime ikiwa na Tarafa 4, Kata 21, vijiji 81 na Jimbo 1 (Rorya) la Uchaguzi

Mkuu wa Wilaya wa kwanza ni Mhe. Lt. Kanali (MST) Benedict K. Kitenga na Mkurugenzi Mtendaji  wa Wilaya alikuwa Bw. Jacob A. Kayange  kati ya 1.07.2007 na 19.11.2009.

Wilaya ipo Kaskazini mwa Tanzania kati ya Latitude 1⁰.00˝ hadi 1⁰ 4.5˝ Kusini mwa mstari wa Ikweta na Longitudi 33⁰.30˝ hadi 35⁰.00˝Mashariki mwa mstari wa Meridian. Wilaya ina ukubwa wa kilometa za mraba 9,345.496 ambazo zimegawanyika kama ifuatavyo:-

Eneo la maji [Ziwa Victoria] kilomita za mraba 7,252 sawa na 77.6%, eneo la ardhi [Nchi kavu] kilomita za mraba 2,093.496 sawa na 22.4%. Wilaya inapakana na nchi ya Kenya kwa upande wa Kaskazini, Wilaya ya Tarime kwa upande wa Mashariki, Wilaya ya Musoma Vijijini kwa upande wa Kusini na Nchi ya Uganda kwa upande wa Magharibi.

Mgawanyo wa Wilaya Kiutawala: Kiutawala, Wilaya ya Rorya kwa sasa inaundwa na Tarafa nne (4), Kata ishirini na sita (26) na Vijiji themanini na saba (87) na Vitongoji 509.

Jedwali1: Historia ya Viongozi wa Wilaya ya Rorya

Na.
Jina Kamili
Mwaka alioanza
Mwaka aliondoka
1.
Simon K.Chacha
2016
-
2.
 

 

 

Matangazo ya Kawaida

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Ampokea Meja Jenerali Mani

    May 13, 2025
  • RC azitaka Wilaya kuongeza nguvu maandalizi ya Mwenge 2025

    May 09, 2025
  • Mtambi akabidhi tuzo na kinyago washindi wa Mwenge 2024

    May 09, 2025
  • Mtambi alitaka jukwaa la ushirika kuongeza ubunifu

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa