Posted on: January 27th, 2023
Katibu Tawala Mkoa wa Mara Bwana Msalika Robert Makungu leo amefanya kikao na wasimamizi wa afya katika Halmashauri na Wakuu wa Vituo vya kutolea huduma za afya katika Mkoa wa Mara na kuwataka kuleta ...
Posted on: January 26th, 2023
Zoezi la uthamini katika eneo la Ghuba ya Speke, katika Kata ya Nyatwali, Wilaya ya Bunda kwa ajili ya kuimarisha uhifadhi endelevu wa mfumo wa ikolojia wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na usalama wa ...
Posted on: January 13th, 2023
Timu ya Biashara United iliyocheza Ligi Daraja la Kwanza iliyopo Mkoani Mara leo imekabidhiwa kwa mwekezaji mpya Free Sports Limited ili aweze kuiendeleza timu hiyo baada ya viongozi na wanachama Bias...