Posted on: July 13th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi leo tarehe 13 Julai, 2022 ametoa mrejesho wa maamuzi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.) kuhusu ...
Posted on: July 12th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mara amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Mara kuanzisha daftari maalum la wataalamu wa Uhandisi litakalowekwa katika miradi yote ya ujenzi na ukarabati katika Halmash...
Posted on: July 12th, 2022
Mkuu wa Mkoa Mheshimiwa Ally Salum Hapi leo tarehe 12 Julai, 2022 ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kwa kupata hati safi ya ukaguzi kwa hesabu za Mwaka 2020/2021 na kuitaka Halmashauri hiyo ...