Posted on: May 26th, 2020
Serikali imewashauri wananchi wa Nyamongo hususan vijiji 11 vinaouzunguka Mgodi wa Barrick North Mara kubadilika ili kuweza kufaidi fursa za maendeleo zinazoletwa na kuwepo kwa mgodi katika eneo hilo....
Posted on: May 26th, 2020
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu leo amefanya ziara ya kukagua mabwawa kuhifadhi ya maji na tope sumu katika Mgodi wa Barrick North Mara.
...
Posted on: May 26th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Adam Kighoma Ali Malima amekagua Kituo cha Forodha Sirari leo tarehe 19 Mei 2020 na kusisitiza kuhusu maagizo aliyoyatoa awali kuhusiana na hatua mpya za kudhibiti ugon...