Posted on: July 16th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhehsimiwa Ally Salum Hapi ameelezea mikakati ya Mkoa wa Mara yenye lengo la kuinua ufaulu wa wanafunzi katika mitahani ya kitaifa.
Mheshimiwa Hapi ameelezea mikakati hiyo leo ...
Posted on: July 16th, 2021
Wilaya ya Rorya imeomba upanuzi wa shughuli za mpaka wa Kirongwe uliopo katika Wilaya ya Rorya ili kuimarisha biashara za wananchi na kupunguza magendo katika mpaka wa Tanzania na Kenya uliopo katika ...
Posted on: July 16th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi ametoa mwezi mmoja Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya akamilishe ujenzi wa choo katika Shule ya Sekondari ya Buturi iliyopo katika Mji wa Shir...