Posted on: February 20th, 2024
Naibu Katibu Mkuu- Elimu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Franklin Rwezimula leo amefanya ziara katika Mkoa wa Mara na kutembelea Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) Mkoa wa Mara kilichopo...
Posted on: February 19th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda ameipokea na kuzungumza na Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini iliyopo katika ziara ya kikazi katika Mkoa wa Mara.
Akizungumza katika mkutano huo, Mhe...
Posted on: February 18th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo amefanya ziara katika Wilaya ya Butiama na kuiagiza Mamlaka ya Maji Mgango- Kiabakari kuhakikisha maji katika mradi wa Maji wa Mgango-Kiabakari ...