• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Sehemu ya Mipango na Uratibu
      • Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
      • Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Sehemu ya Uratibu wa Sekta ya Uchumi na Uzalishaji
      • Sehemu ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu
      • Sehemu ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Sehemu ya usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi
      • Sehemu ya Miundombinu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Maendeleo ya Jamii
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mwenge wa Uhuru Wapitisha miradi 68 ya bilioni 26.5 Mara

Posted on: August 23rd, 2025

Mwenge wa Uhuru leo umehitimisha mbio zake katika Mkoa wa Mara baada ya kutembelea, kukagua, kuweka mawe ya msingi, kuzindua na kufungua miradi ya maendeleo 68 yenye thamani ya shilingi 26,547,598,285.42 baada ya Mwenge wa Uhuru kukamilisha mbio zake leo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mratibu wa Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mara Bwana Fidel Baragae, miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru ilikuwa katika sekta za elimu, afya, maji, ujenzi, kilimo, mifugo, mazingira, ustawi wa jamii, viwanda na biashara.

Ukiwa katika Mkoa wa Mara Mwenge wa Uhuru umekimbizwa kilomita 1,123 kuanzia tarehe 15 Agosti, 2025 hadi leo ambapo umehitimisha mbio zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na mkesha wa Mwenge unaendelea katika uwanja wa Shule ya Msingi Kibara.

Wakati huo huo, Mwenge wa Uhuru leo umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ambapo umetembelea miradi sita yenye thamani ya shilingi 1,849,431,152.20 ambapo mchango wa wananchi ni shilingi 16,100,000.00, Halmashauri shilingi 113,000,000.00 Serikali kuu shilingi 1,720,331,152.20.

Baada ya kupokelewa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti katika uwanja wa mnada wa Mugeta, Mwenge wa Uhuru umezindua nyumba ya walimu ya two in one katika Shule ya Msingi ya Sabasita na kudindua Klabu ya wapinga rushwa katika shule hiyo.

Aidha, Mwenge umezindua mradi wa maji Kabainja na kufungua daraja la barabara ya bulamba- Mwiruruma, umeweka jiwe la msingi katika zahanati ya Nyamitwebilina kupanda miti katika eneo la zahanati hiyo na kuhitimisha kwa kutembelea kikundi cha vijana cha usagaji wa mawe.

Katika eneo la mkesha Mwenge wa Uhuru umekagua kongamano la vijana na kutembelea mabanda mbalimbali ya uchaguzi, kuzuia na kudhibiti dawa za kulenya, rushwa na lishe na upimaji wa UKIMWI na Malaria na kupokea risala ya utii.

Kesho tarehe 24 Agosti, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi anatarajiwa kukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mohamed Mtanda katika eneo la Nansio, Kisiwa cha Ukerewe.

Matangazo ya Kawaida

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2025 August 11, 2025
  • HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA YA TACTICS August 11, 2025
  • KONGAMANO LA VIJANA August 11, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017 January 31, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mwenge wa Uhuru Wapitisha miradi 68 ya bilioni 26.5 Mara

    August 23, 2025
  • RC Mtambi akutana na viongozi wa dini na kuwasistiza kuhamasisha amani

    August 22, 2025
  • Wananchi Rorya wahimizwa kutumia nishati safi ya kupikia

    August 19, 2025
  • Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa awasha Mwenge wa Mwitongo kwa mara ya 61

    August 18, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa