Maadili ya msingi - Mambo muhimu na ya kudumu katika Sekretarieti ya Mkoa wa Mara ambayo inaongozwa na kanuni, Taratibu na Sheria katika utendaji wake wa kazi wa kila siku ni kama ifuatavyo:
1. Uongozi
2. Usawa
3. Jumuishi
4. Uwajibikaji
5. Uadilifu
6. Ushirikishwaji wa Jamii
7. Ubora
8. Usikivu
9. Migogoro ya Maslahi
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa