Wilaya ya Musoma ni miongoni mwa Wilaya 6 za Mkoa wa Mara. Wilaya ya Musoma ilikuwepo tangu utawala wa ukoloni ikijulikana kama South Mara. Wilaya ya Musoma ilianzishwa Mwaka 1972 zilipoanzishwa Serikali za Mitaa. Mwaka 1975 Wilaya iligawanywa kuwa Wilaya mbili za Musoma Vijijini na Serengeti.
Kwa sasa Wilaya ya Musoma ina jumla ya Tarafa 2, Kata 37, Vijiji 68, Vitongoji 374 na Majimbo 2 (Musoma Manispaa na Musoma Vijijini) ya uchaguzi. Mwaka 1975 Wilaya iligawanywa kuwa Wilaya mbili za Musoma Vijijini na Serengeti.
Jedwali1: Historia ya Viongozi wa Wilaya ya Musoma
Na.
|
Jina Kamili
|
Mwaka alioanza
|
Mwaka aliondoka
|
1.
|
Dkt. Vicent Anney Naano
|
2016
|
-
|
2.
|
Humphery Polepole
|
2016 |
2016
|
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa