Wilaya ya Bunda ni miongoni mwa Wilaya 5 za Mkoa wa Mara. Wilaya hii ilianzishwa rasmi Mwaka 1978 baada ya kugawanywa kwa wilaya ya Serengeti ikiwa na tarafa 3 kata 27 vijiji 72 na jimbo 1(Bunda ) la uchaguzi. Kwa sasa ina Tarafa 4, Kata 28, vijiji 106,Vitongoji 537 na Majimbo 3(Bunda Mji, Bunda Vijijini na Mwibara) ya Uchaguzi.
Wilaya ya Bunda iko kati ya 33039’ na 34005’ mashariki ya mstari wa Griniwichi na 1003’ hadi 2045’ kusini mwa Ikweta. Kwa upande wa kaskazi inapakana na wilaya ya Musoma vijijini, Serengeti kwa upande wa mashariki, Wilaya za Magu na Ukerewe imepakana na (Mkoa wa Mwanza) kwa upande wa kusini na magharibi.
Jedwali1: Historia ya Viongozi wa Wilaya ya Bunda
Na.
|
Jina Kamili
|
Mwaka alioanza
|
Mwaka aliondoka
|
1.
|
Lydia Simeon Bupilipili | 2016
|
-
|
2.
|
|
|
|
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa