• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Mipango na Uratibu
      • Sekta ya Elimu
      • Huduma ya Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mtanda ashiriki mazishi ya Mkono

Posted on: May 30th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo ameshiriki mazishi ya Mhe. Nimrod Elirehema Mkono aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini na baadaye Butiama na Wakili maarufu hapa nchini aliyefariki dunia tarehe 18 Aprili, 2023 nchini Marekani.

Akizungumza katika mazishi ya Mhe. Mkono,  Mhe. Mtanda ametoa pole kwa wafiwa wote waliofikwa na msiba huo na kumshukuru Mhe. Mkono kwa mchango mkubwa alioutoa kwa maendeleo ya Mkoa wa Mara.

Mhe. Mtanda pia ametumia fursa hiyo  kuwakaribisha waombolezaji wote waliofika katika Mkoa wa Mara kushiriki mazishi hayo kutoka sehemu mbalimbali na kuwahakikishia usalama wakati wote wanapokuwa katika Mkoa wa Mara.

Wakuu wa Mikoa wengine walioshiriki mazishi hayo ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda; Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka;  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Martin Shigela;  na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed.

Viongozi wengine waliohudhuria mazishi hayo ni pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa (CCM) Mhe.Fadhili Maganya. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Mhe. Patrick Chandi Marwa.

Mwili wa Marehemu Mkono uliletwa nchini Tanzania tarehe 27 Mei, 2023 na tarehe 28 Mei, 2023 uliagwa rasmi katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam na baadaye kusafirishwa kuja Busegwe, Butiama kwa mazishi ambayo yamefanyika leo.

Mhe. Mkono alizaliwa mwaka 1943 katika Kijiji cha Busegwe Wilaya ya Butiama, akiwa ni mtoto wa tano kati ya watoto tisa wa familia yam zee Ezekiel Mkono.  

 Mhe. Mkono ambaye ni mmiliki na mwanzilishi wa Kampuni ya Uwakili ya Mkono  and Co. Advocates na Benki ya Biashara ya Bank M alikwenda nchini Marekani kwa matibabu mwaka 2018 na amefariki katika Jimbo la Florida akiwa na umri wa miaka 79.

Matangazo ya Kawaida

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC azitaka Wilaya kuongeza nguvu maandalizi ya Mwenge 2025

    May 09, 2025
  • Mtambi akabidhi tuzo na kinyago washindi wa Mwenge 2024

    May 09, 2025
  • Mtambi alitaka jukwaa la ushirika kuongeza ubunifu

    May 08, 2025
  • Jumuiya ya Waislamu Musoma yachangia madawati

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa