• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Mipango na Uratibu
      • Sekta ya Elimu
      • Huduma ya Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

87.470 kufanya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nne Mara

Posted on: October 24th, 2023

Jumla ya wanafunzi 87,470 kutoka Mkoa wa Mara wanatarajiwa kufanya mtihani wa upimaji wa Kitaifa wa Darasa la NNe (SFNA-2023) unatoratajiwa kuanza kesho tarehe 25 -26 Oktoba, 2023 hapa nchini.  

Taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Elimu na Ufundi Bwana Makwasa Bulenga imeeleza kuwa kati ya wanafunzi wote wanaotarajiwa kufanya mtihani huo, wasichana ni 43,341 na wavulana ni 44,129.

Mwalimu Bulenga ameeleza kuwa wanafunzi hao wanategemea kufanya mtihani katika jumla ya Shule za Msingi 905 zilizosajiriwa kufanya mtihani wa Darasa la Nne, 2023 zilizoko katika Halmashauri zote tisa za Mkoa wa Mara.

Taarifa hiyo imeonyesha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (141), Halmashauri ya Wilaya ya Rorya (140), Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti (130), Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (117) na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda (110).

Aidha, Halmashauri ya Wilaya ya Butiama (94), Halmashauri ya Mji wa Bunda (72) Halmashauri ya Manispaa ya Musoma (59) na Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (42).

Taarifa hiyo imeonyesha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime ina wanafunzi 15,767 Halmashauri ya Wilaya ya Rorya 12,957, Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti 11,927, Halmashauri ya Wilaya ya Butiama 10,080 na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda 10,047.

Aidha, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda zina wanafunzi 8,144 kila moja, Manispaa ya Musoma 5,339, Halmashauri ya Mji wa Tarime 5,065.

Maandalizi kwa ajili ya kuanza mtihani huo yamekamilika na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara inawahimiza wazazi wote wenye watoto waliosajiriwa kuhakikisha wanafanya mtihani huo na inawatakia wanafunzi wote watakaofanya mtihani  mafanikio mema.

Matangazo ya Kawaida

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC azitaka Wilaya kuongeza nguvu maandalizi ya Mwenge 2025

    May 09, 2025
  • Mtambi akabidhi tuzo na kinyago washindi wa Mwenge 2024

    May 09, 2025
  • Mtambi alitaka jukwaa la ushirika kuongeza ubunifu

    May 08, 2025
  • Jumuiya ya Waislamu Musoma yachangia madawati

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa