• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Mipango na Uratibu
      • Sekta ya Elimu
      • Huduma ya Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Serikali za Mitaa
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

83,558 kufanya mtihani wa Taifa wa upimaji darasa la nne Mara

Posted on: October 22nd, 2024

Jumla ya wananfunzi 83,558 wanatarajiwa kufanya Mtihani wa Taifa wa Upimaji kwa Darasa la Nne kwa mwaka 2024 katika Mkoa wa Mara unaotarajiwa kuanza kesho tarehe 23 Oktoba, 2024 hadi tarehe 24 Oktoba, 2024.

  • Taarifa iliyotolewa na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bwana Makwasa Bulenga imeeleza kuwa kati ya wanafunzi hao wavulana ni 41,822 na wasichana ni 41,736 ambao wapo kwenye mikondo 3,661.
  • “Wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mtihani wa darasa la nne walisajiriwa kuanza darasa la kwanza mwaka 2021 katika shule za msingi mbalimbali” amesema Bwana Bulenga.  

Taarifa hiyo imeonyesha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime ina watahiniwa 14,465, Halmashauri ya Wilaya ya Rorya in watahiniwa 13,875, Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti in watahiniwa 11,276 wakati Halmashauri ya Wilaya ya Butiama ikiwa na watahiniwa 9,513.

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ina watahiniwa 9,162, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ina watahiniwa 7,988, Halmashauri ya Mji wa Bunda ina watahiniwa 6,642, Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ina watahiniwa 5,612 huku Halmashauri ya Mji wa Tarime ikiwa na watahiniwa 5,034.  

Bwana Bulenga ameeleza kuwa mitihani hiyo inasimamiwa na Kamati za Uendeshaji za Mikoa/Halmashauri ambazo zimepewa mamlaka na Sheria ya Baraza la Mitihani Sura 107 ya mwaka 1973 na marekebisho yake ya mwaka 2019. 

 Bwana Makwasa amesema hadi sasa maandalizi kwa ajili ya ufanyaji wa mtihani huo yamekamilika ikiwemo pamoja na semina kwa wasimizi wa mitihani zimeshafanyika na vifaa vyote vya mitihani vimeshapokelewa katika Mkoa wa Mara na kusambazwa katika Halmashauri za Mkoa wa Mara.

Matangazo ya Kawaida

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC azitaka Wilaya kuongeza nguvu maandalizi ya Mwenge 2025

    May 09, 2025
  • Mtambi akabidhi tuzo na kinyago washindi wa Mwenge 2024

    May 09, 2025
  • Mtambi alitaka jukwaa la ushirika kuongeza ubunifu

    May 08, 2025
  • Jumuiya ya Waislamu Musoma yachangia madawati

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa