Friday 27th, December 2024
@Katika Halmashauri husika
Mafunzo haya yanalengo la kuwajengea uwezo watumishi wa Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati kuelewa na kuweza kutumia bima ya Afya ya CHF ilyoboreshwa. Mafunzo haya yamepangwa kufanyika katika Halmashauri zote za Mkoa wa Mara kuanzia tarehe 07-09/05/2018. Wahusika wakuu wa mafunzo hayo ni watumsihi kutoka katika Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati walioteuliwa kutokana na miongozo ya uendeshaji wa CHF iliyoboreshwa.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa