Posted on: April 23rd, 2024
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Moses Kaegele leo ameongoza zoezi la kupanda miti katika Shule ya Sekondari ya Butiama ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania na kuw...
Posted on: April 23rd, 2024
Umoja wa Maafisa Elimu Mikoa na Halmashauri hapa nchini (REDEOA) umeupongeza Mkoa wa Mara kwa kufanya vizuri katika mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwaka 2023 ambapo Mkoa wa Mara ulifaulis...
Posted on: April 23rd, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Mara Bwana Gerald Musabila Kusaya amefanya ziara Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Mara inayoendelea kuj...