• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MARA REGION

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MARA REGION

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organisation Structrure
    • Sections
      • Sehemu ya Mipango na Uratibu
      • Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
      • Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Sehemu ya Uratibu wa Sekta ya Uchumi na Uzalishaji
      • Sehemu ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu
      • Sehemu ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Sehemu ya usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi
      • Sehemu ya Miundombinu
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Maendeleo ya Jamii
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • District
    • Musoma District
    • Butiama District
    • Bunda District
    • Rorya District
    • Tarime District
    • Serengeti District
  • Council
    • Musoma Muncipal
    • Bunda DC
    • Bunda Town
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Town
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Investment Opportunities
  • Services
    • Water
    • Education
    • Health
    • Infastructure
    • ICT
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Policies
    • Application Forms
    • Integrity Pledge Form
    • Client Service Charter
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

ICT

Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa kifupi TEHAMA ni moja kati ya vitengo vitano (5) vikiwemo vya  Sheria, Ukaguzi wa Ndani, Uhasibu na Ununuzi na Ugavi vilivivyoanzishwa baada ya Serikali kufanya marekebisho ya Muundo wa Sekretarieti za Mkoa ambapo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Mrisho Jakaya Kikwete alisaini waraka wa Serikali uitwao The Functions and Organisation Structure of the Regional Secretariats tarehe 3 Juni, 2011.

Dhumuni kuu la kuanzishwa kwa Kitengo cha TEHAMA ilikuwa ni kutoa utaalam na huduma katika maeneo yote yanayohusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Sekretarieti ya Mkoa. Ikumbukwe tu kuwa TEHAMA ni moja kati ya sekta inayojitegemea, lakini pia ni sekta mtambuka ambapo inaziwezesha sekta nyingine za kiuchumi na kijamii kazi zake za ufanisi. Ili kuelewa zaidi kuhusu majukumu ya Kitengo cha TEHAMA, bonyeza hapa.

MIUNDOMBINU YA TEHAMA
Kitengo cha TEHAMA kimesimika na kinasimamia Mtandao wa Ndani wa Mawasiliano – Local Area Network (LAN) katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambapo mtandao huu unatumika kuzifikishia Sehemu na Vitengo huduma ya Internet.

MIFUMO YA KOMPYUTA
Kitengo cha TEHAMA katika Sekretarieti ya Mkoa ni msimamizi na mshauri mkuu katika ngazi ya Mkoa kuhusu masuala ya TEHAMA katika Sekretarieti yenyewe na Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizoko mkoani Mara. Kitengo cha TEHAMA kinasimamia mifumo ya Intergrated Financial Management Information System – IFMIS/Epicor, Human Capital Management Information System – HCMIS/Lawson, Intergrated Tax Management – iTAX, Planning and Reporting System – PLANREP, LGMD na mifumo mingine mingi ambayo imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya kazi fulani.

TOVUTI YA MKOA
Sekretatieti ya Mkoa wa Mara ina tovuti ambayo hutumika kutoa taarifa na elimu kwa yeyeto yule atayaeifungua. Tovuti hii iitwayo www.mara.go.tz ina kurasa zenye taarifa na matukio yanayotokea katika Mkoa wa Mara, lakini zipo kurasa maalum za Mamlaka za Serikali za Mitaa zinazoelezea Mamlaka hizo.

Tovuti ya Mkoa inatoa huduma ya barua pepe kwa Sehemu, Vitengo na maafisa wa Sekretarieti ya Mkoa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali yanazozitaka taasisi za Serikali na Wakala wake kutumia barua pepe zinazotokana na tovuti za taasisi hizo ili kuimarisha upatikanaji bora wa mawasiliano na usalama wa taarifa zenyewe.

Hivi karibuni, tovuti ya Mkoa wa Mara itaboreshwa na kuongeza taarifa nyingi zinazohusu Sekretarieti ya Mkoa yenyewe na Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuifanya Serikali kuwa wazi zaidi kwa kutoa taarifa (Open Data). Taarifa zitakazowekwa ni pamoja na Mipango na bajeti, taarifa za utekelezaji, mapokezi ya fedha, matokeo ya zabuni, taarifa za uhamisho n.k.

 


Announcements

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2025 August 11, 2025
  • HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA YA TACTICS August 11, 2025
  • KONGAMANO LA VIJANA August 11, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017 January 31, 2018
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru Wapitisha miradi 68 ya bilioni 26.5 Mara

    August 23, 2025
  • RC Mtambi akutana na viongozi wa dini na kuwasistiza kuhamasisha amani

    August 22, 2025
  • Wananchi Rorya wahimizwa kutumia nishati safi ya kupikia

    August 19, 2025
  • Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa awasha Mwenge wa Mwitongo kwa mara ya 61

    August 18, 2025
  • View All

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
More Videos

Quick Links

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Related Links

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Telephone: +255282622305

    Mobile:

    Email: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.