Wilaya ya Serengeti ilianza rasmi mwaka 1975 baada ya iliyokuwa inajulikana kama ‘‘South Mara District’’ kugawanywa. Tarafa ya Serengeti na Tarafa ya Ngoreme ndizo zilizounda Wilaya ya Serengeti ambapo baada ya kuanzishwa Tarafa ya Serengeti ikaitwa Tarafa ya Rogoro. Wilaya mpya ya Serengeti ilianza na makao yake makuu yakawa mjini Mugumu. Mhe. A. Nyemela aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya wa kwanza na Bw. B. Salim aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya wa kwanza.
Jedwali1: Historia ya Viongozi wa Wilaya ya Serengeti
Na.
|
Jina Kamili
|
Mwaka alioanza
|
Mwaka aliondoka
|
1.
|
Nurdin Babu
|
2016
|
-
|
2.
|
|
|
|
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.