Posted on: June 26th, 2022
Mkoa wa Mara umejipanga tayari kwa kupokea mbio za kitaifa za Mwenge wa Uhuru mapokezi yatakayofanyika katika eneo la Shule ya Msingi Robanda katika Kijiji cha Robanda kilichopo ndani ya Hifadhi ya Ta...
Posted on: June 24th, 2022
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Mashariki leo imekabidhi dawa zenye thamani ya shilingi 23,000,000 kwa Mwakilishi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara kwa ajili ya Magereza za Mkoa wa Mara...