Wilaya ya Tarime ni miongoni mwa Wilaya 6 za Mkoa wa Mara. Wilaya ya Tarime ilikuwepo tangu utawala wa ukoloni ikijulikana kama North Mara. Mwaka 1972 zilipoanzishwa Serikali za Mitaa, Wilaya ya Tarime ilikuwa na Tarafa 8, Kata 30, Vijiji 95 vitongoji 405 na Jimbo 1 (Tarime) la uchaguzi. Mwaka 2000 wilaya ya Tarime ilikuwa na Majimbo mawili (2) ya Uchaguzi (Rorya na Tarime). Mwaka 2007 Wilaya ya Tarime iligawanywa kuwa Wilaya mbili (2) za Tarime na Rorya, mgawanyo huo ulizaa Jimbo moja (1) la Uchaguzi la Tarime. Pia mwaka 2007 ilianzishwa mamlaka ya Mji Mdogo wa Tarime. Matokeo ya mgawanyo huo unaifanya sasa kuwa na Tarafa 4, Kata 34, vijiji 88, Vitongoji 500, na Majimbo 2 (Tarime Mji na Tarime Vijijini) ya Uchaguzi.
Jedwali1: Historia ya Viongozi wa Wilaya ya Tarime
Na.
|
Jina Kamili
|
Mwaka alioanza
|
Mwaka aliondoka
|
1.
|
Glodious Benard Luoga
|
2016
|
-
|
2.
|
|
|
|
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.