Hospitali ya Rufaa ya Mwl Nyerere itakuwa ni moja ya Hospitali kubwa kanda ya Ziwa inayoendelea kujengwa Mkoani Mara katika Manispaa ya Musoma. Hospitali hii itahudumia Mikoa yote katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: P.o.Box 299 Musoma
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa