• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Sehemu ya Mipango na Uratibu
      • Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
      • Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Sehemu ya Uratibu wa Sekta ya Uchumi na Uzalishaji
      • Sehemu ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu
      • Sehemu ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Sehemu ya usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi
      • Sehemu ya Miundombinu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Maendeleo ya Jamii
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC Mtambi apewa Tuzo ya Amani

Posted on: December 23rd, 2025

Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania imetoa tuzo ya kulinda amani na usalama kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi kwa kutambua mchango wake katika kulinda na kudumisha amani hapa nchini.

Akizungumza wakati wa kukabidhi tuzo hiyo, Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi, Uwajibikaji na Mahusiano wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania Ndugu Leira Riyaz Bhanji amesema Jumuiya hiyo inampongeza Mhe. Mtambi kwa ushirikiano anaoutoa kwenye jumuiya hiyo katika kulinda amani.

“Tunatoa tuzo hizi na kuwazawadia kwa viongozi kama sehemu ya kuwatia moyo na hususan wale wanaojitahidi kudumisha amani” amesema Ndugu Bhanji na kuwataka viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya nchi ya Tanzania.

Viongozi wengine waliopewa tuzo na Jumuiya hiyo ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara, Meneja wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Mara ikiwa ni kutambua mchango wao katika kulinda amani, usalama na mshikamano wa jamii.

Kwa upande wake, Katibu wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Mkoa wa Mara Shere Juma Meko amesema tuzo hizo zina maana kubwa kwa kuwa zinawahamasisha viongozi kuendelea kusimamia na kulinda amani hapa nchini.

Shehe Meko amesema kuwa Jumuiya hiyo ipo tayari kushirikiana na viongozi wanaosaidia katika kulinda amani huku wakiendelea kuliombea Taifa.

Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo Mhe. Mtambi ameishukuru Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania amesema kuwa tuzo hiyo ni kielelezo cha kazi nzuri iliyofanywa na Kamati ya Maridhiano ya Mkoa wa Mara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha amani inadumu wakati wote.

“Hii tuzo ni wananchi na viongozi wote wa Mkoa wa Mara kwa kutambua ustahimilivu na ukomavu wao wa kustahimili mihemko ya kisiasa na uvunjifu wa amani” amesema Mhe. Mtambi na kuwataka wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu.

 Mhe. Mtambi pia amewapongeza Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mara kwa kuwa mstari wa mbele kuhamasisha amani na utulivu kwa kuendelea kutoa habari zenye maudhui chanya na kuchochea utulivu katika jamii.

Matangazo ya Kawaida

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2025 August 11, 2025
  • HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA YA TACTICS August 11, 2025
  • KONGAMANO LA VIJANA August 11, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017 January 31, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya uchaguzi yaingia Mara

    January 08, 2026
  • Mara yaweka mikakati kukomesha ukeketaji

    January 06, 2026
  • Mara haitamvumilia atakayeyumbisha sekta ya elimu: Mtambi

    January 06, 2026
  • Kutupa taka ovyo Mara ni hujuma za kiuchumi: Mtambi

    January 06, 2026
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa