Friday 27th, December 2024
@Wilaya zote za Mkoa wa Mara
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku saba Mkoani Mara kuanzia tarehe 15/01/2018 hadi 21/01/2018. Mhe. Kassimu Majaliwa anatarajia kutembelea Wilaya ya Musoma, Butiama, Bunda, Serengeti, Tarime, Rorya na Bunda. Katika maeneo yote hayo Waziri Mkuu atazungumza na Watumishi wa Umma na wananchi .
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa