Maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani, kitaifa yatafanyika Mkoani Mara Wilaya ya Butiama. Maadhimisho hayo yatazinduliwa na Mhe. January Makamba Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira tarehe 01/06/2017 na kuhitimishwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassani tarehe 04/06/2017.
KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT MAGUFULI UZINDUZI WA HOSTEL UDSM APRIL 15,2017
Mkuu wa Mkoa wa Mara
Anwani ya Posta: P.o.BoX 299 Musoma
Simu: +255282622305
Simu:
Barua pepe: ras@mara.go.tz
Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa