• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MARA REGION

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MARA REGION

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organisation Structrure
    • Sections
      • Planning & Coordination
      • Education Sector
      • Water Services
      • Economic & Productive
      • Admin AND Human Resource Management
      • Health & Social Welfare
      • LGAs Management Services
      • Infastructure
    • Units
      • Legal Services
      • Finance & Accounts
      • Internal Audit
      • Information & Communication Technology
      • Procurement & Supply Management
  • District
    • Musoma District
    • Butiama District
    • Bunda District
    • Rorya District
    • Tarime District
    • Serengeti District
  • Council
    • Musoma Muncipal
    • Bunda DC
    • Bunda Town
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Town
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Investment Opportunities
  • Services
    • Water
    • Education
    • Health
    • Infastructure
    • ICT
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Policies
    • Application Forms
    • Integrity Pledge Form
    • Client Service Charter
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Zao la Pamba ni Ukombozi Mpya Mkoa wa Mara

Posted on: March 1st, 2018

Afisa  anayeshughulikia kilimo cha zao la pamba Mkoa wa Mara Eng. Okayo Mwita amewahimiza Maafisa Kilimo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuhakikisha wakulima wanasaidiwa ili kuweza kufikika lengo la mavuno tulilojiwekea kama Mkoa. Eng.Okayo aliyasema hayo leo  wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa kulima zao la pamba katika Wilaya ya Rorya ikiwa ni agizo la Mhe.Kassimu Majaliwa(Mb)  Waziri Mkuu wa Tanzania kuwa Mikoa yote inayolima pamba kuhakikisha wakulima wanawezeshwa na kusaidiwa na wataalam wa kilimo.

''Ni lazima kuhakikisha wakulima wanapewa pembejeo zitakazotosheleza mahitaji yao ili tuweze kupata mavuno mengi na yenye tija kwa mkulima na Taifa kwa ujumla" alisema Eng. Okayo.

Naye Afisa Kilimo wa Wilaya ya Rorya ndugu Dominic Ndyetabura alisema kuwa wakulima wengi wameitikia wito wa Serikali wa Kulima zao la pamba na jumla ya hekari 366 ya zao la pamba zimelimwa katika Wilaya ya Rorya msimu huu wa Kilimo. "Ni jukumu letu kama maafisa Kilimo kuhakikisha wakulima wanapata pembejeo zote zinazohitajika japokuwa kuna changamoto za hapa na pale" alisema ndugu Dominic. 

Katika msimu huu wa kilimo Wilaya ya Rorya inatarajiwa kuvuna tani 366 .Hili ni ongezeko kubwa sana ukilinganisha na msimu uliopita.Kilimo cha zao la pamba ni mkombozi mpya kwa wakulima wa Mkoa wa Mara. Hili ni kutokana na mahitaji makubwa ya pamba na tayari wawekezaji wengi wameonesha nia ya kununua pamba msimu wa mavuno ujao. Kupitia zao hili wakulima wanaweza kujikwamua kutoka kwenye umasikini endapo watalima kwa bidii na kuendana na sera ya Tanzania ya  Viwanda kwa kuwa tayari Serikali iko tayari kuhakikisha kilimo hiki kinaleta faida kwa mkulima.

Zao la pamba ni muhimu kwa Tanzania ya Viwanda, tulime kukuza uchumi binafsi na taifa kwa ujumla.

Announcements

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • View All

Latest News

  • Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Mara wapatiwa mafunzo

    June 20, 2025
  • Mara mshindi wa pili UMITASHUMTA 2025

    June 18, 2025
  • Zingatieni miongozo ya kilimo cha tumbaku- Dkt. Haule

    June 18, 2025
  • Mtambi aipongeza Bunda TC kwa hati safi miaka mitano mfululizo

    June 13, 2025
  • View All

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
More Videos

Quick Links

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Related Links

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Telephone: +255282622305

    Mobile:

    Email: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.