• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MARA REGION

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MARA REGION

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organisation Structrure
    • Sections
      • Sehemu ya Mipango na Uratibu
      • Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
      • Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Sehemu ya Uratibu wa Sekta ya Uchumi na Uzalishaji
      • Sehemu ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu
      • Sehemu ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Sehemu ya usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi
      • Sehemu ya Miundombinu
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Maendeleo ya Jamii
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • District
    • Musoma District
    • Butiama District
    • Bunda District
    • Rorya District
    • Tarime District
    • Serengeti District
  • Council
    • Musoma Muncipal
    • Bunda DC
    • Bunda Town
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Town
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Investment Opportunities
  • Services
    • Water
    • Education
    • Health
    • Infastructure
    • ICT
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Policies
    • Application Forms
    • Integrity Pledge Form
    • Client Service Charter
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Mara mshindi wa pili UMITASHUMTA 2025

Posted on: June 18th, 2025

Mkoa wa Mara umekuwa mshindi wa pili katika mashindano ya 29 ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) Taifa kwa mwaka 2025 yaliyokuwa yanafanyika katika Manispaa ya Iringa na kuhitimishwa leo.

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeonyesha kuwa Mkoa wa Mara umepata jumla ya alama 173 na kushika nafasi ya pili katika mashindnao hayo.

Katika mashindano hayo, Mkoa wa Mara umefanya vizuri katika michezo ya handball (wasichana), soka (wasichana), riadha (wavulana) na (wasichana) na usafi kwa (wavulana) ambapo imepata alama 20 katika kila kipengele.

Kwa matokeo hayo Mkoa wa Mara umepanda kwa nafasi moja katika mashindano yam waka huu baada ya mwaka 2024 kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya 28 ya UMITASHUMTA kitaifa.

Taarifa ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI imeonyesha kuwa Mkoa wa Mwanza umeongoza kitaifa kwa kupata alama 230 wakati Mkoa wa Tabora ukishika nafasi ya tatu Kitaifa baada ya kupata alama 151.

Mashindano hayo yalifunguliwa Rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 6 Juni, 2025 yameahirishwa rasmi leo tarehe 18 Juni, 2025 kupisha mashindnao ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) yanayoanza rasmi tarehe 19 Juni, 2025 katika Manispaa ya Iringa.

Mashindano hayo yaliihusisha mikoa yote ya Tanzania Bara na Mikoa iliyofanya vibaya ni pamoja na Tanga ambayo imepata alama 80 na kushika nafasi ya 24, Ruvuma alama 75 na kushika nafasi ya 25 na Lindi alama 71.8 na kushika nafasi ya 26.

Sekretarieti ya Mkoa wa Mara inaitakia kila la Kheri timu ya Mkoa wa Mara inayoshiriki michezo ya Umoja wa Shule za Sekondari (UMISETA).

Announcements

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2025 August 11, 2025
  • HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA YA TACTICS August 11, 2025
  • KONGAMANO LA VIJANA August 11, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017 January 31, 2018
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru Wapitisha miradi 68 ya bilioni 26.5 Mara

    August 23, 2025
  • RC Mtambi akutana na viongozi wa dini na kuwasistiza kuhamasisha amani

    August 22, 2025
  • Wananchi Rorya wahimizwa kutumia nishati safi ya kupikia

    August 19, 2025
  • Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa awasha Mwenge wa Mwitongo kwa mara ya 61

    August 18, 2025
  • View All

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
More Videos

Quick Links

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Related Links

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Telephone: +255282622305

    Mobile:

    Email: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.