• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MARA REGION

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MARA REGION

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organisation Structrure
    • Sections
      • Planning & Coordination
      • Education Sector
      • Water Services
      • Economic & Productive
      • Admin AND Human Resource Management
      • Health & Social Welfare
      • LGAs Management Services
      • Infastructure
    • Units
      • Legal Services
      • Finance & Accounts
      • Internal Audit
      • Information & Communication Technology
      • Procurement & Supply Management
  • District
    • Musoma District
    • Butiama District
    • Bunda District
    • Rorya District
    • Tarime District
    • Serengeti District
  • Council
    • Musoma Muncipal
    • Bunda DC
    • Bunda Town
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Town
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Investment Opportunities
  • Services
    • Water
    • Education
    • Health
    • Infastructure
    • ICT
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Policies
    • Application Forms
    • Integrity Pledge Form
    • Client Service Charter
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Ujenzi wa Hovyo Haukubaliki

Posted on: April 23rd, 2018

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mara  Raphael J Nyanda amesema kuwa fedha zilizotolewa na Serikali kwenye ujenzi na ukarabati wa vituo vya afya lazima ifanye kazi iliyotarajiwa. Nyanda ameyasema hayo jana kwenye ziara ya ukaguzi wa Ujenzi wa Vituo vya Afya sita katika Halmashauri mbalimbali Mkoa wa Mara.

“Imekuwa ni tabia ya mazoea kuwa ujenzi wa majengo ya Serikali unafanyika hovyo hovyo pasipo kujali thamani ya fedha. Katika kipindi cha uongozi wangu sitakubali,nasema sitakubali kabisa kupokea majengo yasiokidhi viwango.Ni lazima kazi mnayoifanya iwe na ubora sambamba na fedha tuliyowapa,”alisema Nyanda akiwa anawaasa wasimamizi wa ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Alisisitiza kuwa ujenzi huo unatakiwa kukamilika si zaidi ya tarehe 15 Mei ,2018 na uzinduzi rasmi wa kitaifa wa ujenzi wa vituo hivyo ni mwisho wa mwezi wa tano.”Hivyo basi ni lazima mhakikishe mnafanya kazi usiku na mchana pasipo kusimama ili kukamilisha kazi hiyo  kwa kuwa fedha zipo na hakuna sababu ya kutokamilisha kazi kwa wakati’” alisema Nyanda.

Naye Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Mkoa Yusuph Luhende alisema kuwa baada ya ujenzi huu kukamilika ni lazima ukaguzi wa kina ufanyike ili  kujua matumizi ya fedha kama yamefanyika kwa kufuata taratibu.

“Mnatakiwa kuwa makini sana na manunuzi mnayofanya.Singatieni taratibu na kuhakikisha kila mnachokifanya ni matokeo ya kamati ya ujenzi.Mkumbuke kutunza risiti zote za manunuzi ili kutojiweka kwenye matatizo hapo badae,” alisema Luhende.

Ujenzi na ukarabati wa Vituo vya Afya ni mpango wa serikali kwa nchi nzima wa kuhakikisha kunakuwa na mazingira bora na salama ya kutolea huduma za afya.

Imetolewa na Stephano Amoni- Afisa TEHAMA 

Announcements

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • View All

Latest News

  • Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Mara wapatiwa mafunzo

    June 20, 2025
  • Mara mshindi wa pili UMITASHUMTA 2025

    June 18, 2025
  • Zingatieni miongozo ya kilimo cha tumbaku- Dkt. Haule

    June 18, 2025
  • Mtambi aipongeza Bunda TC kwa hati safi miaka mitano mfululizo

    June 13, 2025
  • View All

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
More Videos

Quick Links

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Related Links

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Telephone: +255282622305

    Mobile:

    Email: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.