• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MARA REGION

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MARA REGION

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organisation Structrure
    • Sections
      • Planning & Coordination
      • Education Sector
      • Water Services
      • Economic & Productive
      • Admin AND Human Resource Management
      • Health & Social Welfare
      • LGAs Management Services
      • Infastructure
    • Units
      • Legal Services
      • Finance & Accounts
      • Internal Audit
      • Information & Communication Technology
      • Procurement & Supply Management
  • District
    • Musoma District
    • Butiama District
    • Bunda District
    • Rorya District
    • Tarime District
    • Serengeti District
  • Council
    • Musoma Muncipal
    • Bunda DC
    • Bunda Town
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Town
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Investment Opportunities
  • Services
    • Water
    • Education
    • Health
    • Infastructure
    • ICT
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Policies
    • Application Forms
    • Integrity Pledge Form
    • Client Service Charter
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Mara yapokea vifaa tiba na magari 31

Posted on: November 25th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu mapokezi ya vifaa tiba kwa ajili ya kutolea huduma za afya na magari 31 ya kubebea wagonjwa na usimamizi wa sekta ya afya  katika Mkoa wa Mara.

Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mara ofisini kwake, Mhe. Mtanda amesema Mhe. Rais ameleta magari ya kubebea wagonjwa 20 na magari ya usimamizi wa sekta ya afya 11 na kati ya magari hayo, tayari magari matatu yameshapokelewa katika katika baadhi ya Halmashauri za Mkoa wa Mara.

“Katika mgawanyo wa magari hayo, kila halmashauri itapata magari mawili ya wagonjwa na gari moja ya usimamizi, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara pia itapata magari mawili ya wagonjwa na gari moja la usimamizi, na ofisi yangu itapokea  gari moja kwa ajili ya usimamizi” amesema Mhe. Mtanda.

Aidha, Mheshimiwa Mtanda ameeleza kuwa kwa sasa huduma za afya katika Mkoa wa Mara zimeimarika ambapo Hospitali zote za Halmashauri zimeanza kufanya kazi na huduma zinaendelea kuboreshwa zaidi baada ya mapokezi ya vifaa hivi.

Wakati huo huo, Mkuu wa Mkoa amesema kuwa Serikali Mkoani Mara imefanikiwa kuwakamata wezi waliokuwa wanajihusisha na wizi wa vifaa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na kukamata baadhi ya vifaa vilivyoibiwa kwa nyakati tofauti tofauti.

Akizungumza wakati wa kikao hicho, Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii Dkt. Zabron Masatu ameeleza kuwa vifaa tiba na magari hayo yanakuja kuimarisha zaidi utoaji wa huduma katika sekta ya Afya.

Announcements

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • View All

Latest News

  • Kongamano la Maonesho ya Madini kufunguliwa Mara leo

    June 03, 2025
  • Mtambi ataka ubunifu vyanzo vya mapato

    June 03, 2025
  • Mtambi aipongeza Musoma DC kupata hati safi

    June 03, 2025
  • Kusaya awataka wauguzi kuviishi viapo vyao

    May 30, 2025
  • View All

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
More Videos

Quick Links

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Related Links

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Telephone: +255282622305

    Mobile:

    Email: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.