Ujenzi wa Jengo la Damu salama la Hospitali ya Mkoa wa Mara lilianza kujengwa Mwaka 2014. Ujenzi huu ni Mkakati wa Hospitali ya Mkoa wa Mara katika kutatua changamoto ya upatikanaji wa damu salama . Ujenzi huu umejengwa na wakandarasi wawili tofauti na kugharimu jumla ya Sh.55 Milioni. Mradi huu umekamilika na jengo liko tayari kutumiaka kuanzia leo tarehe 18/04/2017.Makabidhiano ya mradi huu yamefanyika mbele ya Viwanja vya Jengo la Damu Salama Hospitali ya Mkoa wa Mara 18/04/2017.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.