KATIBU TAWALA (M) WA MARA ANAWATANGAZIA WATUMISHI WOTE KUWA KWA SASA HAITATOA SALARY SLIPS ZA WATUMISHI. HUDUMA HII KWA SASA INAPATIKANA KUPITIA TOVUTI YA MKOA WA MARA.www.mara.go.tz
ILI UPATE SALARY SLIP YAKO INGIA KATIKA TOVUTI , NENDA PALIPOANDIKWA “NIFANYEJE”. BOFYA SEHEMU ILIYOANDIKWA KUPATA STAKABADHI YA MALIPO YA MSHAHARA KWA MTUMISHI WA UMMA HAPO ITAKUPELEKA UKURASA WA SALARY SLIPS AU FIKA OFISI YA TEHAMA MKOANI CHUMBA NAMBA 13 KWA MSAADA ZAIDI.
BY: UTAWALA
23/04/2018
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.