• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
MARA REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Seksheni
      • Sehemu ya Mipango na Uratibu
      • Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
      • Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Sehemu ya Uratibu wa Sekta ya Uchumi na Uzalishaji
      • Sehemu ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu
      • Sehemu ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Sehemu ya usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi
      • Sehemu ya Miundombinu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Maendeleo ya Jamii
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Musoma
    • Wilaya ya Butiama
    • Wilaya ya Bunda
    • Wilaya ya Rorya
    • Wilaya ya Tarime
    • Wilaya ya Serengeti
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Musoma
    • Bunda DC
    • Bunda Mji
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Mji
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyomba vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wataalamu wakumbushwa kusimamia miradi

Posted on: June 29th, 2022

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Bwana Sahili Nyanzabara Geraruma amewakumbusha wataalamu wa Halmashauri wajibu wao katika kusimamia miradi ya maendeleo ya wananchi na sio kuziachia kamati za utekelezaji wa miradi ambazo hazina utaalamu.

Bwana Geraruma ametoa kauli hiyo wakati akikagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Mji wa Tarime leo na kubaini usimamizi usioridhisha na kusababisha dosari ndogondogo kwenye baadhi ya miradi ya maendeleo.

“Haiwezekani wataalamu kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo na kuziachia kamati za usimamizi wa force account ambazo wajumbe wake sio wataalamu katika kamati walizoteuliwa kuingia” alisema Bwana Geraruma.

Bwana Geraruma amewakumbusha wataalamu kuwa serikali imewaajiri ili utaalamu wao utumike  kusimamia miradi ya maendeleo yenye manufaa kwa wananchi na kutoa huduma bora kwa wananchi watu wengine kwenye hizo kamati wanakuja kuwasaidia tun a kupata ushirikishwaji wa wananchi katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Aidha Bwana Geraruma ameshauri kamati za usimamizi wa ujenzi ziwe na wataalamu wanaohusika kama wenyeviti na katibu na wananchi wa kawaida wawe wajumbe tu katika kamati za usimamizi wa miradi hiyo.

Mwenge wa Uhuru leo umekimbizwa katika Halmashauri ya Mji wa Tarime ambapo umeweka jiwe la msingi katika mradi wa maji wa Sabasaba; umezindua klabu ya wapinga rushwa katika Shule ya Sekondari ya Nkende na umeweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari katika eneo la Gicheri.

Aidha Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Ketare, umetembelea kikundi cha vijana katika barabara ya Nyamwaga na kutembelea mradi wa Halmashauri wa kufyatua tofali.

Mkesha wa Mwenge umefanyika katika Chuo cha Ualimu Tarime ambapo ukiwa hapo Mwenge ulipata nafasi ya kukagua miradi ya vikundi vya wanawake, vijana, utoaji wa elimu juu ya malaria, Ukimwi, rushwa, sensa ya watu na makazi, lishe na elimu ya kupinga dawa za kulevya.

Mwenge wa Uhuru kesho tarehe 30 Juni, 2022 utaendelea na mbio zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya.

Matangazo ya Kawaida

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2025 August 11, 2025
  • HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA YA TACTICS August 11, 2025
  • KONGAMANO LA VIJANA August 11, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017 January 31, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Kanali Mtambi ateta na viongozi wa NHIF

    August 05, 2025
  • Mtambi ataka maboresho utoaji wa mikopo ya asilimia 10

    August 06, 2025
  • Mtambi ataka Hamasa Mbio za Mwenge wa Uhuru

    August 06, 2025
  • Kilimo cha alizeti kinga dhidi ya uvamizi wa tembo- Mtambi

    August 01, 2025
  • Tazama Zote

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Tovuti Mashuhuri

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Anwani ya Posta: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Simu: +255282622305

    Simu:

    Barua pepe: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 Mkoa wa Mara.Haki Zote Zimehifadhiwa