Ninayo furaha kubwa kukukaribisha katika tovuti hii. Tunatumaini utapata taarifa za kuaminika unazozihitaji kwa ukamilifu kuhusu wigo, upeo wataasisi, dira, dhamira, malengo, mikakati,shughuli kuu, ahadi na utekelezaji wa shughuli za Serikali.
Ujio wa tovuti hii ni tukio la kihistoria katika kufikia dira na matarajio yetu hasa kutangaza shughuli za Serikali lakini pia na huduma zetu kwa umma. Kupitia tovuti hii tunaamini kwamba itakuwa rahisi kwa wananchi kupata taarifa mbalimbali. Ni matumaini yangu kuwa kila atakayetembelea tovuti hii atapata jambo la kumfurahisha, kumfundisha au kumuelimisha.
Ni nia yetu kuendelea kuboresha tovuti hii kadri muda unavyokwenda ili ipatikane kwa urahisi na ubora wa hali ya juu. Tunafurahi sana kuzungumza na watembeleaji wa tovuti waliohamasika na tunathamini kila maoni tutakayoyapokea.
Tovuti hii ya Mkoa wa Mara inamilikiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Karibuni sana.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.