Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara imeshaanza kujenga Nyumba ya kuishi ya Mkuu wa Wilaya ya Butiama. Ujenzi huu ni matokeo ya fedha za maendeleo zilizoletwa kutoka Serikali Kuu baada ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kuomba fedha hizo kwa mwaka wa fedha 2016/2017
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.