• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MARA REGION

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MARA REGION

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organisation Structrure
    • Sections
      • Planning & Coordination
      • Education Sector
      • Water Services
      • Economic & Productive
      • Admin AND Human Resource Management
      • Health & Social Welfare
      • LGAs Management Services
      • Infastructure
    • Units
      • Legal Services
      • Finance & Accounts
      • Internal Audit
      • Information & Communication Technology
      • Procurement & Supply Management
  • District
    • Musoma District
    • Butiama District
    • Bunda District
    • Rorya District
    • Tarime District
    • Serengeti District
  • Council
    • Musoma Muncipal
    • Bunda DC
    • Bunda Town
    • Butiama DC
    • Rorya DC
    • Tarime DC
    • Tarime Town
    • Serengeti DC
    • Musoma DC
  • Investment Opportunities
  • Services
    • Water
    • Education
    • Health
    • Infastructure
    • ICT
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Policies
    • Application Forms
    • Integrity Pledge Form
    • Client Service Charter
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

TAMISEMI yataka mbinu shirikishi katika ufundishaji

Posted on: June 24th, 2024

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde leo (Juni 21, 2024) amefanya ziara katika Wilaya ya Serengeti na kuwataka walimu wa darasa la kwanza na darasa la pili kutumia mbinu shirikishi katika ufundishaji wa wanafunzi.

Akizungumza katika kikao kazi na wasimamizi wa elimu Wilaya ya Serengeti ambapo amewasistiza walimu kuepuka kufundisha kwa mazoea hasa kwa darasa la kwanza na la pili kwa shule za msingi na Kidato cha kwanza.

“Mbinu shirikishi zikitumika kwa wanafunzi wa madarasa ya chini zitaleta ufanisi na matokeo chanya wakati watoto wanapoendelea na masomo yao katika ngazi za juu” amesema Dkt. Msonde.

Aidha, Dkt. Msonde amewataka walimu wanaofundisha somo la kiingereza shule za msingi kuongeza bidii na maarifa katika ufundishaji wa somo hilo kwani linachangamoto kutokana na wanafunzi wengi wamekuwa wakikaririshwa maneno magumu ya kiingereza bila kuelewa kile walichokariri.

Dkt. Msonde amewataka walimu kuwaandaa watoto kuanzia katika madarasa ya awali, darasa la kwanza, la pili na la tatu kwani kwa kufanya hivyo kutamjengea mtoto msingi mzuri tangu akiwa katika madarasa ya chini.

Kikao kazi hicho kilihudhuriwa na Maafisa Elimu kutoka ngazi ya Mkoa, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Maafisa Elimu Kata na  Wakuu wa Shule za Sekondari na Walimu Wakuu wa Shule za Msingi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.   

Dkt. Msonde kesho anatarajiwa kuendelea na ziara yake katika Wilaya ya Wilaya ya Tarime   Mkoa wa Mara.

Announcements

  • Ziara ya Waziri Mkuu February 24, 2024
  • MIAKA 60 YA MWENGE WA MWITONGO July 31, 2024
  • RC AIPOKEA KAMATI YA MADINI YA BUNGE February 25, 2024
  • SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA February 11, 2024
  • View All

Latest News

  • RC Ampokea Meja Jenerali Mani

    May 13, 2025
  • RC azitaka Wilaya kuongeza nguvu maandalizi ya Mwenge 2025

    May 09, 2025
  • Mtambi akabidhi tuzo na kinyago washindi wa Mwenge 2024

    May 09, 2025
  • Mtambi alitaka jukwaa la ushirika kuongeza ubunifu

    May 08, 2025
  • View All

Video

UMUHIMU WA KULIPA KODI
More Videos

Quick Links

  • Huduma za Maji
  • Mpango wa Manunuzi wa mwaka wa fedha 2017/2018
  • FOMU ZA KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • TAARIFA KWA MAKAMU WA RAIS
  • TAARIFA YA HOSPITALI YA WILAYA YA SERINGETI
  • Muongozo wa Matumizi bora ya vifaa vya TEHAMA
  • Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mazingira duniani Mkoani Mara.
  • Zoezi la Unyunyiziaji Kiuatilifu cha Ukoko Majumbani
  • Taarifa kwa Umma-Ziara ya Makamu wa Rais Mkoa wa Mara

Related Links

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifu
  • Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Katibu Tawala Mkoa wa Mara

    Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara

    Telephone: +255282622305

    Mobile:

    Email: ras.mara@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.