Thursday 24th, April 2025
@Mwembeni, Musoma
Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa wa Mara unatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Mwembeni tarehe 28 Mei 2021. Uzinduzi huo utatanguliwa na maonyesho ya bidhaa zilizozalishwa na wananchi wa Mkoa wa Mara yatakayofanyika katika viwanja vya Mukendo kuanzia tarehe 26 Mei 2021 hadi tarehe 28 Mei 2021. Kauli Mbiu ya uzinduzi huu ni Wekeza Mara kwa Uchumi Endelevu
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.