Thursday 24th, April 2025
@Mugango- Musoma Vijijini
Mpango wa Unyunyiziaji wa Dawa ya Ukoko ni moja ya mkakati wa Taifa katika kupambana na Ugonjwa hatari wa Malaria. Hatua hii ya unyunyiziaji wa dawa ya ukoko ni mwendelezo wa juhudi za Serikali katika kutekeleza Mpango wa Taifa wa kudhibiti malaria nchini unafadhiliwa na USAID/PM/Abt Associates. Tunawakaribisha wananchi wote kushiriki katika tukio hili muhimu ikiwa ni pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na malaria.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.