Thursday 24th, April 2025
@Musoma
Siku ya mazingira duniani huadhimishwa kila mwaka hapa Tanzania. Maadhimisho haya kitaifa kwa mwaka huu yatafanyika Mkoani Mara. Ufunguzi wa siku ya mazingira duniani utafanywa na Mhe.Januari Makamba Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Muungano na Mazingira na kilele cha maadhimisho hayo utafanywa na Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Dkt. Charles Mlingwa anaomba wananchi wote kuadhimisha siku hii kwa vitendo vya kutunza mazingira na kupanda miti. Wananchi mnaombwa mjitokeze kwa wingi.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.