Thursday 24th, April 2025
@Nyakabindi, Simiyu
Mkoa wa Mara unashiriki maonyesho ya 28 ya nanenane ambapo kitaifa yanafanyika katika viwanja vya Nyakabindi katika Mkoa wa Simiyu. Tarehe 7 Agosti 2020 itakuwa ni siku maalum ya Mkoa wa Mara kuonyesha utamaduni wake na shughuli za Kilimo, Uvuvi na ufugaji unaofanyika katika Mkoa wa Mara. Aidha ngoma, vivutio na chakula cha watu wa Mkoa wa Mara kitakuwepo siku hiyo . Wote mnakaribishwa.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.