Thursday 24th, April 2025
@Nyamuswa - Bunda
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Dr. Charles Mlingwa atakuwa na Ziara ya kikazi tarehe 01/03/2017 Wilaya ya Bunda Kijiji cha Nyamusa .Lengo la ziara hiyo ni kukabidhi darasa na Ofisi ya Mwalimu Mkuu shule ya Msingi ya Ikizu A yaliyojengwa na mfadhili.
Katibu Tawala Mkoa wa Mara
Postal Address: 13 Barabara ya Boma, P.o.Box 299 Musoma, 31101 Musoma, Mara
Telephone: +255282622305
Mobile:
Email: ras.mara@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Mara Region . All rights reserved.